Anaondoka Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Anajuta kunifahamu
Kwatabia navijimambo
Navyofanya
Kwautapeli hisia zangu
Naujana mwingi Ulionidanganya
Kudhulumu ni haramu
Lakini ndio kitendo
Nichofanya
Kwautovu wanidhamu
Naomba radhi nimekosa mama
Vile nikiamka asubuhi naaga nakwenda
Kwa kazini kurudi
Nachelewa unapata house
Muili wote ganzi
Bado mi naleta kibuli
Ukiuliza habari za kazini
Nanarudi nimelewa
Vipigo havishikiki ndani
Anapiga simu baby
Uko wapi nakusubiri
Nyumbani tule
Mwenzaake nipo club Nagonga glass yeye Anakesha kama musukule
Majilani jilani nyie
Majilani nisaidieni
Majilani jilani nyie
Samahani ombeeni
Mungu baba nisaidie oh oh ohhhhh
Malaika unishushie Majilani wa mekaa pembeni
Anabeba mabegi
Anaondoka wowo wowo
Anaondoka muzueni
Oho oho
Kwake mi sijiwezi
Anaondoka lolo lolo oo
Anaondoka muzueni
Naona aibu
Kwanilio yafanya
Aliponifumania
Nalile jimama
Yangu nafsi namaumivu
Nasitayili lawama
Kwake kila siku shida
Ya leo afazari ya jana
Akifua nguo condom mfukoni
Anayavungia utadhani hayaoni
Namatusi naomtukana Hadharani
Juzikutwa mzima jeuli kisilani
Ohh ohhh oh
Maharage nimetia
Ndimu ohhhh ohhh ohhhh
Kipi nifanye nirudishe amani woh woh
Oh wuh woh wuh woh ahhhhhhhh
Majilani jilani nyie
Majilani nisaidieni
Majilani jilani nyie
Samahani ombeeni
Mungu baba nisaidie oh oh ohhhhh
Malaika unishushie Majilani wa mekaa pembeni
Anabeba mabegi
Anaondoka wowo wowo
Anaondoka muzueni
Oho oho
Kwake mi sijiwezi
Anaondoka lolo lolo oo
Anaondoka muzueni