Nenda Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Kweli nenda mama
Nenda mama
Nenda salama
Kukikucha makelele
Mtaani wote majilani Wanakujua
Kwa mabwana Vimbelembele nimepika Mimi watu wanapakua
Tena unajifanya bingo Wakudanga mkali chuma Cha poa hadharani Kunisema mshamba mimi Mambo sijayajua
Ummmm
Nenda mama
Ahhh ahhh Nenda salama
Nenda mama nenda salama
Ahhh ahhh nenda salama
Kweli nenda mama
Ahhh ahhh nenda salama
Nenda mama Nenda Salama uh uhhh nenda Salama
Udanga udange umbwa Wewe fezea zote nipate Mie
Kuamba ngoma sana Mwisho pasuka aaa
Iblisi mujalana kushoto Akakuvuta
Tena unajifanya bingo Wakudanga mkali chuma Cha poa hadharani Kunisema mshamba mimi Mambo sijayajua
Ummmm
Nenda mama
Ahhh ahhh Nenda salama
Nenda mama nenda salama
Ahhh ahhh nenda salama
Kweli nenda mama
Ahhh ahhh nenda salama
Nenda mama Nenda Salama uh uhhh nenda Salama
Ahhhh ahhh nenda salama
Ahhhh ahhh nenda salama
Ahhhh ahhh nenda salama
Ahhhh ahhh nenda salama