
Wasp Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Wasp - Big yasa
...
............
Mad clan x2
Biggz
8 side west side
Ahhhh listen
Vitu manze hii lyf nawant
Lazma 2nda go too hard
Nasiati nilizaliwa nki rap
Nilitake time kubuild hii crap
Nikishika mike na spin kaa ahhh wasp na spin ka wasp x2
Late night this peng ananicall
Anannipasha juu ako drunk
mafans walishow up zaidi ya punch
Inakuwa ngumu johh kutrust