![No Chorus](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/57eca55e731d4e3b8f09045f607d143c_464_464.jpg)
No Chorus Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
No Chorus - Big yasa
...
yes nataka wife nasi taki hoes man,
sometimes mimi hukula kwa trap
mimi huwa sikuli hoe man
utanyongwa hapo kwa corner
magizani jooh ni noma
kwa streets kumajaa ma informer
my mom was led in koma
And till day to the trauma
ma auntie na ma uncle wali tu toka
stori za farm sisi tulichoka
kama ni kubonga
mimi nta bonga
ndio huyo peng na hatoshi mboga
mwambieni nampenda na anachoma
first niko na reason
second niko na ambitions
third niko na mission
mimi huu seti ndio nipate wisdom
na hii lighter haina gas
na nilikuwa nataka kuwasha my skunk
nilimshika alikua ana pass
until today sisi ina tu hurt
puff puff puff pass
na bond yetu ika start
qwa qwa qwa qwark
like Donald the duck
madclan madclan