Ngangari Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
NGANGARI LYRICS-JOSEE BLESSED
Napata nyarafa hivi nilichoka,au kwa injili nimetulia (haa haaa...)
Wengine wanauliza hivi niliokoka, au utakatifu ninafulia (haa haaa...)
Leo majibu ninayo yasikie kwenye wimbo ooh
Leo majibu ninayo (haa haaa...)
Huyu Yesu walai
Amenipa vyote nini ntadai
Kichwani mi najua sifai
Lakini bado ananituza uhai x2
-----
Chorus
Ngangari Ngangari
Kwa wokovu bado ngangari (haa haaa...)
Ngangari Ngangari (sibanduki)
Kwa wokovu bado ngangari (nipo) x2
-----
Kama ushawishi naupata pata
Ati kule kwingine kunanoga noga
Tumia kizizi au basi oga
Najua vyote moshi
Siwezi vichanganya nuru na giza
Kisa umaarufu na msosi
Bado yesu bwana ananiagiza
Kwa devil mbona mingi mikosi
Leo majibu ninayo yasikie kwenye wimbo ooh
Leo majibu ninayo (haa haaa...)
Huyu Yesu walai
Amenipa vyote nini ntadai
Kichwani mi najua sifai
Lakini bado ananituza uhai x2