Number Moja Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
NUMBER MOJA LYRICS-JOSEE BLESSED
Eti wanasema money leo ndo namba moja ,haaa eeh
Itisha baraza leo nimebeba hoja ,,haaa eeh
Ulisikia wapi Mungu analinganishwa
Vinakujaga vikipita(Pita)
Nimegundua watu wanahitaji kufahamishwa
Hodi hodi sio eti napita
Mimi na yeye ni kurwa na doto
Kwake hamna utoto ni kutimiza ndoto
Prechorus
Amekuwa... mwema kwangu ...siku zote... za maisha yangu
Namba moja ,Yesu ni namba moo..namba moja
Chorus
Namba moo namba moja uooo,Yesu ni namba moja
Hamna wa kupinga
Namba moo namba moja uouo,Yesu ni namba moja
Nimempata naringa
Mmmh namba moja wengine wanafata anaongoza kwa vitendo... boom!
Sina pressure mi napenda wake mwendo
Mmmh...haaa.hooo...
Wananingoja huku chini,niko high end
Mi ni mtoto wa dady sio eti na-pretend
Amenileta huku mjini,anani-defend
Maadui lazima low wata-bend
huuuh....namba moja huyo Yesu ni namba moo..namba mo