Mapenzi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Veenero Handsome - Mapenzi
Mapenzi haijalishi light skin Wala dark skin
Uwe mfukara mkwasi sio hoja
Kwenye mapenzi ni utulivu
Mmmmmh
Mbona utupe pressure sisi wanaume
Tumekuridhisha na Kila utakacho
Please give us peace
Mmmmmh
Mapenzi Mapenzi
Ilitoka Kule shambani Edeni
Mapenzi Mapenzi
Ilianza kwa Adamu na Awa
Mapenzi Mapenzi
Ikaumbwa na Maulana
Mapenzi
Eh Mapenzi
Utanitesa Mapenzi?
Instrumentals
Mapenzi imenidata mwilimzima inaduwaa
Wakati mwingine penzi yanatisha
Habari moto moto zachipuka Kila kukicha
Huyu na yule kajitia kitanzi kwa ajili yako
Hasara hio
Mola tuepushe na mapenzi
Ya chuma ulete
Chuma ulete
Eh Yah
Eeh
Mapenzi Mapenzi
Ilitoka Kule shambani Edeni
Mapenzi Mapenzi
Ilianza kwa Adamu na Awa
Mapenzi Mapenzi
Ikaumbwa na Maulana
Mapenzi
Eh Mapenzi
Naliogopa Mapenzi
Instrumentals
Sometimes ninawaza nisijihusishe kwenye mapenzi
Maana taniumiza roho japo me bado mdogo
Wanaoyapitia waliokwenye ndoa yanitoa machozi
Ee Yarabi nisaidie
Mapenzi isije kanitesa
Mapenzi
Mbona nakushuku mapenzi
Mapenzi
Mbona wanitia hofu
Mapenzi
Nashindwa kuku amini mie
Mapenzi
We mapenzi
Usinitese mapenzi
We mapenzi
Unipe raha mapenzi
We mapenzi
Usiniumize mapenzi
We mapenzi
Naogopa msononeko
Mapenzi _Veenero Handsome