
Tetemesha Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2023
Lyrics
Tetemesha - Veenero Handsome
...
Yeah
Veenero
Hiyo hiyo hiyo
Hiyo hiyo vumbi natimua nikisonga
Timua Timua vumbi
Mwendo wa radi ninaenda
wanaona moshi
ulimwengu mzima nasikika
wote wanitambua
Kenya yangu me naiwashilisha
Niko kileleni
City to City nikivisit
wanikarihisha Kwa raha tele
Country to Country nikienda
wanipenda hawataki niondoke mie
Ngoma zangu nazo nikirelease
Shangwe na Nderemo inasikika
Media station zote wanisaka
wadai kuwasiliana nami
Club zote nimetembelea
Ngoma zangu ina boom
Ina Boom Ina Boom
ina Boom Boom Boom
Natetemesha Natetemesha Natetemesha
Wanaona Giza hao
Natetemesha Natetemesha
Wameshikwa na Njeve hao
Natetemesha Natetemesha
Wamebaki kinywa wazi hao
Natetemesha Natetemesha
Tanzania, Rwanda Natetemesha
Uganda, Burundi Natetemesha
South Africa, Congo Natetemesha
U.S.A na Asia Natetemesha
Ngoma tamu tamu nazo nikawape
Mafans wote wafurahie
Alafu tudensi kishakushaku
Natena tudensi kibaisikeli
Ahyia Ayaah
Natetemesha Natetemesha Natetemesha
Wanaona Giza hao
Natetemesha Natetemesha
Wameshikwa na Njeve hao
Natetemesha Natetemesha
Wamebaki kinywa wazi hao
Natetemesha Natetemesha
Leo ni raha tufurahie
kina dada wote katika
Mabibi na Mabwana tucheze ngoma
Mwili mzima mtowe jasho
Vipiii wote mwakaribishwa
tucheze dombolo pamoja
walionuna wote twakaribisha
Tuwape vicheko
Tuone meno ya
DE-CE-MBER
Natetemesha Natetemesha Natetemesha
Wanaona Giza hao
Natetemesha Natetemesha
Wameshikwa na Njeve hao
Natetemesha Natetemesha
Wamebaki kinywa wazi hao
Natetemesha Natetemesha
Si ni Mimi Veenero ninabamba
yeyeyeee!
Na tena me Veenero nafurahisha
yeyeyeee!
Haya basi Dengua
Dengua kiuno Dengua Dengua
basi nyonga
Nyonga kiuno
Nyonga nyoga nyonga
by Veenero Handsome
Subscribe to my You tube channel