Uweponi Salama Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Natamani nikae katika uwepo wako
Nisitolewe na jambo lolote hapo
Nidumu nidumu katika uwepo wako
Nidumu yawe makao yangu hapo
Natamani nikae katika uwepo wako
Nisitolewe na jambo lolote hapo
Nidumu nidumu katika uwepo wako
Nidumu yawe makao yangu hapo
Uweponi mwako Bwana Kuna furaha
Amani na utimilifu
Uweponi mwako Bwana Kuna furaha
Nakamilishwa katika uwepo wako.
Ntatembea gizani bila uwepo wako
Na wewe ni Nuru mwangaza uu kwako
Mimi nitashindaje bila mwongozo wako
Unitie nguvu
Tegemeo langu ni kwako
(Salama salama
Uweponi mwako ni salama)×4
Salama yangu ni wewe
Nikiwa uweponi mwako sitakwenda
Pale usipotaka niende
Nikiwa uweponi mwako nitazijua, hila za Siri,
za adui zangu na kuzishinda.
Uweponi mwako Kuna furaha
Amani na utimilifu
Uweponi mwako Bwana Kuna furaha
Nakamilishwa katika uwepo wako
Nilijua tofauti ya kua uweponi mwako
Ndo mana napenda nidumu hapo
Nizame, nijazwe uweponi mwako
Moyo wangu ukwabudu wewe..
Salama salama uweponi mwako ni salama
Nakamilishwa
Natiwa nguvu
Salama ya maisha yangu ni wewe Bwana.
Na ndoa yangu kwako
Watoto wangu kwako
Naimariashwa
Napiganiwa
Natiwa nguvu
Haijalishi uko na hali gani wakati huu
Imba na Mimi chorus hii
Mana uwepo wa Mungu ni salama wa Kila ya unachohitaji..
...Salama Salama Uwepo wako ni salama ..
Na Kila nnachohitaji ni kwako wewe
Salama yangu ni kwako Yesu
Ni salama.