Huchelewi Huwahi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Siku zinakwenda Baba
Miaka inasonga
Nayo maswali ni mengi
Lini utajibu
Siku zinakwenda Baba
Miezi yasogea
Wapo maadui zangu wanafurahiya
Muda sio kikwazo kwako
Naomba nifindishe kukuamini
Muda sio kikwazo kwako
Naomba nifundishe kuvumilia
Wewe huchelewi
Wala huwahi
Wewe huchelewi
Wala huwahi
Unafanya Kwa wakati
Hupimwi Kwa nyakati na majira
Wewe wadumi milele
Ulikwepo kabla ya nyakati na majira
Tena utakwepo milele
Nyakati za Sara zilikoma
Lakini ukafanya jambo jipya
Hatakama usiku umesonga
Naiona asubuhi yangu yaja
Muda sio kikwazo kwako
Naomba nifundishe kukuamini
Muda sio kikwazo kwako
Naomba nifundishe kuvumilia
Wewe huchelewi
Wala huwahi
Wewe huchelewi
Wala huwahi
Unafanya Kwa wakati
Siku zinakwenda Baba
Umri wasogea
Na wapo wanomuliza
Yupo wapi mtoto wako
Na wanajua kabisa yeye ni tasa
Utafanya kwa wakati wako
Utatenda Kwa majira Yako
Wewe huchelewi.....
Nifundishe njia yako
Kwa wakati waako
Unatenda Tena unafanya