Vitendo (Accoustic Version) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
You know the perc
Whiten Skills
Percadia
We ukweli unanipenda we
Nitajuaje uko serious na mie wew
Nioneshe wanipendaje
Wewe wewe
Matendo matendo sio maneno
Vitendo vitendo si maneno neno
Matendo matendo sio maneno
Vitendo vitendo si maneno neno
Tangu tangu hakuna uaminifu
Naogopa moyo wangu kuumia
We nikikupa penzi langu
Vipi utaniacha nisije kuumia eh
Naogopa kulia mateso ikanisonga
Matendo matendo sio maneno
Vitendo vitendo si maneno neno
Matendo matendo sio maneno
Vitendo vitendo si maneno neno
Tatalila tatatata tatatalatalala
Tatalila tatatata talatatata tala
Matendo matendo sio maneno
Vitendo vitendo si maneno neno
Matendo matendo sio maneno
Vitendo vitendo si maneno neno