Usione Haya Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Nana nananana nana
nananana nana
nananana nana
You the the perc
Percadia
Go baba ah ah
Washangaze eh
Vile mimi ninakuzimia ah
Don't lie to me baby eh eh
Mi nawe baby tunaendana ah
I don't want to lose you tonight baby
Elewa kwamba nakupenda sana ah
Mapenzi yetu hayakuanza jana ah
Wazushi hawalijui hilo
Baby wajua vile nakupenda penda ah
Sina mwingine na wala mi sijaona ah
Wewe ni wangu mi ni wako
Tulia nami nami nifurahie eh
Usione haya eh eh eh
Ukiwa nami ndio napenda
Usione haya eh eh eh
Ukiwa na mimi ndio napenda
Usione haya ah ah ah
Ukiwa na mimi ndio napenda
Usione haya eh eh eh
Ukiwa na mimi ndio napenda
Nana nananana nana
nananana nana nana nana
Nana nananana nana
nananana nana nana nana
Wambea usiwape caption
Nkaja nkawaga machozi Ikawa shubiri
Vile kupostiana nakuongozana
Ukiniacha aibu itanifuata ah eh
Baby baby do me
Baby baby do me
Baby baby do me
Hih hih hih hih
Baby wajua vile nakupenda
Sina mwingine na wala sijaona
Usione haya eh eh eh
Ukiwa nami ndio napenda
Usione haya eh eh eh
Ukiwa na mimi ndio napenda
Usione haya ah ah ah
Ukiwa na mimi ndio napenda
Usione haya eh eh eh
Ukiwa na mimi ndio napenda
Baby baby do me