Dolidoli Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
SONG: dolidoli
SINGER: meetdreys
PRO: VOLOCOAPP
intro
"I got a question"
"What?"
"If i die would you miss me?"
"Mhh mhh!"
"Why you asking me this ? "
"Cause i wanna know "
"If i die would you miss me?"
"Yeah"
"You said yeah? "
"Amen"
"Mhh hehe! Good hehe!"
VERSE 1 [meetdreys]
Yeah look at my baby, kama ni pacha basi umefanana na mm Ooh god blessed till now uko na mimi Acha ni ringe, wako wa moyo ndio mimi eeh
Kwanza baby uko sweet Baby hunachoyo uko daily na mimi Nilingoja miaka mingi nikiamini uta come to me️
Usiku silali mawazo kibao kuwaza baby
Nafanya ima uje,uishi na mimi
Ntafanya chochote coz you are my baby sweet girl pipi
nikuone kila siku nitembee Na wewe daily ️
sita ona haya nikiwa Na we my beiby by my side tena njoo unipunguzie mapigo ya moyo my heart️
coz you are my light you keep me shine in the darkness igive my love to you ️🫵🏽
Hook: [meetdreys]
dolidoli dolidoli
Acha niringe dolidoli
Cause nina wewe
VERSE 2 [meetdreys]
Mungu hakupi unachotaka Anakupa unachostahili Moyo haukuwa na haraka Ulisubiri kwa ku chili️
route nyingi sana zawadi nyingi nyingi Umbali mrefu na ndo akafika baby pipi Till now tupo safe
Mzuri wa tabia, sura na shape Twende zetu paris tuwaonyeshe na ma elfu Waone nikikushika kila nikipata gap We ndo wangu wa milele kukucheat please no thanks Mbele ya macho yao watuone tunapiga step Nitakufundisha ku trade utupe pesa live kwa Facebook Ma niggas wabaki wanaguess tu
Hook: [meetdreys]
dolidoli dolidoli
Acha niringe dolidoli
Cause nina wewe
"If i die would you miss me?"
"Mhh mhh!"
"Why you asking me this ? "
"Cause i wanna know "
"If i die would you miss me?"
"Yeah"
"You said yeah? "
"Amen"
"Mhh hehe! Good hehe!"