Aftatu Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Verse 1 [meetdreys]
Yeah ni ubishi
Life laki bishi
Nina ball let me swish
tunaforce life hata kama hatuna shilings
Kuna time kichwa kinapata moto maana hata ukitazama simu haziiti
So inanibidi nipanguse chanda pesa kwenda kuzitafta kibishi
Nitajua mbivu nitajua mbichi
Outside its dark mbele naona,giza yani sioni kitu hadi nashindwa ku decide Na sijui vipi nita turn, yani ni mungu tu ndo ananinusuru na mabalaa My dreams nazichora, ndo hivyo hazitimii namwomba na Mola , they say haisikii🥹 Na jua linachomoza , jioni silii Matatizo yanantongoza, nashindwa ku retreat Nategemea washibe,ili nile japo mabaki Nikiwazaga niibe, nona jela mlango uko wazi
Hook:
I wish ningekuwa na ma range
I wish ningebukua ma trades
I wish ningepaa overseas
I wish ningemtunza my baby️
I wish nigetunza ma niggas
Ila mfukoni ndo na aftatu
VERSE 2 [meetdreys]
Binaddamu wananitega, wananishuku kua jambazi🥹 Mapenzi yamenichenga, wasichana nao hawanitaki Mwili unanyongonyea, napata mashaka kuendelea Mawazo yananifokea, vidonda tumboni vinajitokeza Nakazana kusimama, ila bado nateleza🫠 Najipata nasirima, nkijihis ctoweza Ila imani hupoza, nashindwa kata tama Nguvu inanjaza ,nona mbele kukingaa.
kwa aftatu hii inatosha kwa ninacho taka
Ugali mboga mboga vya kishua sina haja
Life langu moja na ridhika ninachopata
Ndomana nakwenda mchaka mchaka ili roho akiitaka yes anaipata