Kizunguzungu Lyrics
- Genre:Electronic
- Year of Release:2022
Lyrics
This song I sing for you especially
The words I say sincerely
Cause you're the one, the one, the one baby
You're the one, the one, the one
Who makes me feel
Dizzy dizzy dizzy dizzy
Dizzy dizzy dizzy dizzy
Dizzy dizzy dizzy dizzy
Dizzy dizzy dizzy dizzy
Maisha yangu sio kamilifu
Na bila yawe yalijaa utupu
Na wala sipati na uchofu
Nikiwa nawe pembeni yangu
Nakuwaza
Mchana na usiku
Nakumbuka
Siku ya kukutana kwetu
Sitosahau
Ulivyonionyesha raha ya ulimwengu
Mpenzi wangu
Sogea karibu yangu
Sikiza maneno yangu
Ondoa shaka na yako khofu
Maneno yangekuwa alama
Mwili mzima ningejiandika
Kwa yale mengi nisoweza sema
Moyoni ndani yamejificha
Unachotaka
Sema nitakupa
Sipokipata
Kwa waganga nitaenda
Sitosahau
Ulivyonifanya nipende tena maisha
Mpenzi wangu
Sikiza maneno yangu
Nlipokutia machoni mwangu
Nilipatwa na kizunguzungu
Popote pale unapokwenda
Umo mwangu mawazoni
Sipokuona ninakonda
Moyo wangu wajawa na simanzi
Popote pale unapokwenda
Umo mwangu mawazoni
Sipokuona ninakonda
Moyo wangu wajawa na simanzi
Aah
Aaah aaah aaaah
Mpenzi wangu
Sogea karibu yangu
Wakamilisha ndoto zangu
Walijaza pengo la maisha yangu
Aaha aaah aaah
Kizunguzungu
Kizunguzungu
Kizunguzungu
Kizunguzungu
Aaah
Kizunguzungu
Kizunguzungu
Kizunguzungu
Baby wanitia kizunguzungu
Noo noo ooooh ooh ooh
Mpenzi wangu
Sogea karibu yangu
Maneno yako matamu
Kuyasikiza hayaishi hamu
Oooh oohh mpenzi wangu uuh
Mpenzi wangu
Sogea kwangu
Kiponye changu
Kizunguzungu
Mpenzi wangu
Sogea kwangu
Ondoa changu
Kizunguzungu
Kizunguzungu, yaay