
Nyumbani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nyumbani - Ben Pol
...
Nyumbani nyumbani nyumbani
Nimepakumbuka nyumbani nyumbani aiyee!
...
Nyumbani nyumbani nyumbani
Nimepakumbuka nyumbani nyumbani
Nyumbani nyumbani nyumbani
Nimepakumbuka nyumbani nyumbani Aiyee!
Nyumbani nyumbani nyumbani
Nimepakumbuka nyumbani nyumbani Aiyee!
Nyumbani nyumbani nyumbani
Nimepakumbuka nyumbani nyumbani
Nyumbani nyumbani nyumbani
Nimepakumbuka nyumbani nyumbani Aiyee!
Nyumbani nyumbani nyumbani
Nimepakumbuka nyumbani nyumbani Aiyee!
Kule kwetu kijijini wamejawa na mapenzi
Mtoto hawamjui anafaidi malezi
Mjini zaa wakwako wa mwenzio husimuudhi
Akikujibu vibaya muachie anamzazi huyoo
Oooh aaah!
Sijui eeh sijui kuku ana roho gani
Sijui eeh sijui wamezaliwa na nani
Ukikopeshwa pesa unageuka adui
Marafiki wa sasa wanaficha uwadui
Cheka utacheka mkiwa na pesa
Tabu ikikufika magazetini watakuweka
Kwetu nilikotoka hatukai kwa mashaka
Haki unayolipwa wema utakufata
Ubaya ukiupenda wabaya watakutenda eeeh
Naondoka (narudi nyumbani)
Nimechoka mie (narudi nyumbani)
Aiih nikawaone wazee (narudi nyumbani)
Aiiih ye eeh (narudi nyumbani)
(Narudi nyumbani)
(Narudi nyumbani)
(Narudi nyumbani)
...
Nyumbani
Nyumbani
Nyumbani
Nyumbani ni nyumbani
Nyumbani ni nyumbani
Nyumbani ni nyumbani
Naondoka (narudi nyumbani)
(Narudi nyumbani)