![Makopa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/08/0d7dec51139044e5908bc498fc114ae3_464_464.jpeg)
Makopa Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Makopa - Robby Vibe
...
hmmm hmmm........... ya Habibieeh mapenzi yako nomaa unanipa komaa imejaa kopakopa nongeza bidii kama nasomaah kitandani ngoma ngomaaa kama moto chomaa mmh na ulivyo fundi wa vichai moto kabichi mboga na dondoo ooh na pata mautamuu jamani mautamuu tukila nyama samaki shomboo ukipika naosha vyomboo ooh tunatesa kwa zamu kukutreat ndo raa yangu aah babee makopa kopa mmh makopa kopa.....makopa kopa