![Sare](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/04/53e8d066adb64b0bb0a247beaf44a259_464_464.jpeg)
Sare Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Sare - Robby Vibe
...
Shikamoo, kwa penzi lako kaba koo
Migando, unayonipa mi amor
Shikamoo, maana majoto majoto
Minyesho, unayonipa mi ni more
Nimeokota dodo, machungwa sili
Jaman eeh, na nikishapenda huwaga sisikii
ooh anhaaa, kukutunza mwali naongeza bidii
washndwe wambea wanaoleta fitini
Sare, mi na wewe sare, sare hata kwenye giza kwenye taa baby
Sare mimi na wewe sare, mh Sare
mh! Tabibu tabibu wangu mimi, unanipea dawa, umenifunga kamba
mh..maneno maneno tupa chini, wasikuibe chawa
Jimbo litakosa ngoma, anhaa
Nimeokota dodo, machungwa sili (jamani eeh)
Na nikishapenda huwaga sisikii, kukutunza mwali naongeza bidiii, anha washindwe wambea wanaoleta fitini
Sare mmi na wewe sare, Sare hata kwenye giza kwenye taa baby
Sare mimi na wewe sare, mh saree..