Engineer Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Show by show waning'ang'ania
Muziki kwangu violoso nawapakulia
Champe champe man of the year
Hol' up ngoja kiasi tenje inalia
Engineer nimepitisha mileage
Engineer nahitaji guarantee
Engineer utafika saa ngapi
Engineer nahitaji service
Hebu nikueleze huyu wangu mamii
Hatambui kama mimi ni Msanii
Nikiwa na eye mimi ni engineer
Nikiwa na eye mimi ni engineer
Hebu nikueleze huyu wangu mamii
Hatambui kama mimi ni Msanii
Nikiwa na eye mimi ni engineer
Nikiwa na eye mimi ni engineer
Macho yangu ni scanner
Na mikono ni spanner
Na vile ume bana
Nakuja na spare parts
Nakupiga oil check
Nakupeleka road test
Na vile naipeleka gari
Ama kweli ni ungwana
Makelele na sauti punguza mdogo
Nimefika kwenye bump nita ifinya iende
Ni napiga corner left
Napiga corner right
Nimepita traffic lights
Gari iko fine
Hebu nikueleze huyu wangu mamii
Hatambui kama mimi ni Msanii
Nikiwa na eye mimi ni engineer
Nikiwa na eye mimi ni engineer
Hebu nikueleze huyu wangu mamii
Hatambui kama mimi ni Msanii
Nikiwa na eye mimi ni engineer
Nikiwa na eye mimi ni engineer