Kondele Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Baby ing'eyo kaka Aheri
Bi ing"eye kaka Aheri
Baby ing'eyo kaka Aheri
Bi ing"eye kaka Aheri
Umenifanya mimi Kama ngotuere ( Aawii Aaweeii )
Na mi mujanja kutoka kule Kondele ( Aawii Aaweeii )
Mapenzi yangu kwako milele ( Le le le lee )
Nakupa haki yako teke teke ( Teke Teke Ahaa )
Aa haa aa
Ona vile unafanya najifanya mbele ya watu baby,Oo
Ona vile unafanya na spend my money, Aa
Ona sasa wenye wivu wana, wanazua eh!
Na hivo ndivo mi napendanga
Aa yaya,
Umenikoroga akili sana Ma
Saa mbaya,
Ni saa ngapi ntatoka kazini oyoyo
Unikumbatie
Mapenzi nikupatie
Uniandalie
Na bazenga ni kuangalie
Umenifanya mimi Kama ngotuere ( Aawii Aaweeii )
Na mi mujanja kutoka kule Kondele ( Aawii Aaweeii )
Mapenzi yangu kwako milele ( Le le le lee )
Nakupa haki yako teke teke ( Teke Teke Ahaa )
Aa haa aa
Kwangu ni jela
Sitoki nyumba walai
Wife anichunga naipendanga
Na ni Kama ndumba
Ameniteka
Ni wangu maradhi
Nauguanga
Aa yaya,
Umenikoroga akili sana Ma
Saa mbaya
Ni saa ngapi ntatoka kazini oyoyo
Unikumbatie
Mapenzi nikupatie
Uniandalie
Na bazenga ni kuangalie ooh
Umenifanya mimi Kama ngotuere ( Aawii Aaweeii )
Na mi mujanja kutoka kule Kondele ( Aawii Aaweeii )
Mapenzi yangu kwako milele ( Le le le lee )
Nakupa haki yako teke teke ( Teke Teke Ahaa )
Aa haa aa
Baby ing'eyo kaka Aheri
Bi ing'eye kaka Aheri

( Aawii Aaweeii )
( Aawii Aaweeii )
( Le le le leee )
( Teke Teke Ahaa! )