Siri Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Siri - Bosco Tones
...
sijawahi ona mpenzi kma wee acha nikupende
zidisongambele acha penzi litawale
onana
wanga walisubiri kwako niliopotee ili wao wacheke
me nipo na wee acha wao watesekee mbali
ooooh my love
onanana
siisi hatuna makosa wao ndo wasoishiwa na visa,
penzi letu limepitiliza
Nawaondicho kinawaumiza
Ooonana ipo siku itafika watakusoa pa kushika atasisi tutabadilika
Tunfanana watopata picha
we ndo siri ya mooooooooyo wangu
moyo wangu ,moyo wangu
oooh baby
linda furaaaaaaha yangu , furaha yangu,furaha yangu
ooooh darling nanana nana
uuuuuuuuuuuuuh
no
Tulikotoka ni mbali sana darling
Tunapendeza sare sare
Pengine sitamani wangu mwandani
Tena wangu rubani penzi liko angani linapepea
Thamani ya penzi lako ni zaidi ya mamilion
Kinachoweza kunivunja sikioni
pepea juuuu
nananaaa
linapepea juuuuu
Nipo tayari kuingia ulingoni
Kupigania penzi lisifike ukingoni
(pepea juuuuui)
onanana
my babay
Sisi hatuna makosa
siri ya moyo moyo moyo
moyo wangu