Nana Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Nana - Bosco Tones
...
(Chorus)
Na na na na na na na
na na na na na na
Na na na na na na na
Na na na na na na
Baby let me tell you something about your love
Naenjoy nikiwa nawe, kesho tutaanza kufanana
Beibe, hata Kama sikuoni kwako Sina nguvu
Kitabia tunaendana , hata nikifa ntazikwa nawe
beibee,
Wanaosema haufai kuwa Nani watangoja
Wambie kwako nimechill Sina woga
kwako Sina woga, beibee
Na Kama nitakapokupa taji lako watakoma
Kwa macho yao watakuona
Wote watakuona
Baby let me sing for you
Na na na na na na na
na na na na na na
(I want to marry you)
Na na na na na na na
Na na na na na na
(mmmh eyyy eehh)
(Verse 2)
Hatua zetu zinaendana, utasema damu tume chanjana
Wewe ni wangu tu, itabidi wanga tuwazue
Baridi kwa joto tukikandana (kandana)
Wanga wapi waje wakipishana (pishana)
Kwanza koleza juu, na kama bango walisome
Kama we sijamuona hata waniokote siwezi pona
Bila yako wewe ntahisi homa na sitoipona (sitoiponaa)
Tena we mpaka kiama (eeeeh)
Hata uchelewe ntasimama (eeeeh)
Badala yako wewe hata nkimwona
Wala siwezi ponaa (na na na na na)
Wanaosema haufai kuwa Nani watangoja
Wambie kwako nimechill Sina woga
kwako Sina woga, beibee
Na Kama nitakapokupa taji lako watakoma
Kwa macho yao watakuona
Wote watakuona
Baby let me sing for you
(Chorus)
Na na na na na na na
na na na na na na
Na na na na na na na
Na na na na na na
Na na na na na na na
na na na na na na
Na na na na na na na
Na na na na na na