![Sacrifices ft. Darklorde](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/14/c69bf693571a4aaaa7927bbc2c5a3da2_464_464.jpg)
Sacrifices ft. Darklorde Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sacrifices ft. Darklorde - Virusi Mbaya
...
Gone are the days tumekwa season and face always embracing hata Kama hii life ni testing counting my blessings after kustarve ni kusosi hakuna rahisi hawataweza Na Sisi maibilisi Wana daikuona tumechizi ×2
virusi:Cjioni mwenye nguvu nkusacrifice
nmepitia mauchungu thru ma
sacrifice blessings za Mungu
Na ma sacrifice ukileta za
unugu naezakusacrifice..
what JahJah has blessed no man can touch am just doing my thing naonesha Sanaa cjaweka pamba kwenye sikio njiskia fty kwenye stereo..
any case i miss that thing Kesho nimarudiooo... ooh..
nmeona watu crazy crazy human's wananionesha sura nakumbe wanangoja msibah nmekwa na marafiki next door neighbour's nakumbe nimalocki haters Wanacheka nkiteseka
Yeah!!...