![Meno Kwenye Shingo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/21/9b46601a7ef644b19d90f30f76dbe3d0_464_464.jpg)
Meno Kwenye Shingo Lyrics
- Genre:Metal
- Year of Release:2022
Lyrics
Meno Kwenye Shingo
Wanataka kunimaliza
Naeza tell na design wananiangalia
Smile ni fake
Smile ni fake
Lakini haiwezi ficha meno ya vampire
Ni kutry kusurvive
Kwa hii jungle ya concrete
Ukizubaa utapatana na
Ukizubaa utapatana na
Meno kwenye shingo
Meno kwenye shingo
Meno kwenye shingo
Umdhaniyae
Brathe au siste
Ni kunguni
Nguoni
Umdhaniyae ndiye siye
Na ukiumwa
Utakufa na upweke
Ukiwa
Katikati ya umati
Katikati ya mimi na wewe
Katikati ya yule na wewe
Katikati ya mimi na wewe
Katikati ya yule na wewe
Na kwa hii life
Utapatana na wasee wengi
Na kuna wengine hawakutaki
Wanadai ukuwe kama wao
Wanadai kuleta
Utengano
Kati yetu sisi wote
Kati yetu sisi wo
Kati yetu sisi wote
Kati yetu sisi wote