![Nia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/21/9b46601a7ef644b19d90f30f76dbe3d0_464_464.jpg)
Nia Lyrics
- Genre:Metal
- Year of Release:2022
Lyrics
Hebu fikiria tunachopitia na tunakoelekea
Njia ya vutia na haina hisia
Kushikilia dunia bila nia
Nataka macho niyazibe
Nikiendelea kuenda mbele
Nitambaze mabawa nibebwe
Na upepo kama ndege
Nataka roho iongoze
Ili nifike penye furaha tele
Nataka kupata njia
Hebu sikiliza unachoniambia
Unakotuelekeza
Njia ya vutia lakini itaumiza
Kuachilia dunia bila nia
Nataka kuwaza hesabu
Ya kuendelea mbele
Nishikanishe hapa na pale
Ili niweze kufika kule
Nataka ubongo iongoze
Inifikishe penye furaha
Penye furaha tele
Mi nakuambia nitapata njia
Wasaa unawadaia
Na sitaangamia nina nia
(Wasaa unawadia nita pata njia) Mimi nina nia ya kupata njia
Wasaa unawadia na sitaangamia
Nina nia
Nina nia
Yaku pata njia
Mia kwa mia nitapata njia
Wasaa unawadaia
Na sitaangamia nina nia
Mimi nina nia
Yaku pata njia
Wasaa unawadia
Na sitaangamia
Nitavumilia
Hali ya dunia
Nina nia
Wasaa unawadia na sitaangamia
Mimi nina nia (Yakupata njia)
Nina nia