
Lola ft. Masauti Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Lola ft. Masauti - Nadia Mukami
...
nachanganya izi pesa nilijikuta tu kivyangu eti mwanzon upinipenda akabisha shetani uku kwetu lakini mbona hukunambia yasinijulie mitandaoni ukweli ukaukimbia eti music ndo shetani ama ni kiki unatafutia ndo maombi yangu moyoni Yani shobe zinazo nambia nisijitese akilini mbona tulianza bila mapene na Leo tuna magari nimekosa Nini jameni SI ulitaka niwe marufu wape story magazeti matusi pande mbili kipenzi Cha watu jameni walitupenda site wawili ila
Lola yamemwagika hayazoleki
Lola
Loola
Lola yamemwagika hayazoleki
Lola yamemwagika baba
Lola Sasa umeniacha na nani
Lola rudi kwangu Mimi
Lola Sasa umeniacha na nani mama yooo
Lola ludi kwangu Mimi
kwel nimeumbuka Sina hata haja ya kukutazam kwenye sula niliyo yaficha wangu moyoni yote unayajua naona aibu mpaka kwa marafiki zangu umekuwa chungu kwa tamaa zangu Nadia ulinipendaga na mapenzi yalinoga mi ndo nilikumwaga nakuomba msamaha wangu mama basi usiniadhibu kwa kosa tayali nimekubal acha kunihusudu Kila mahali ni Mimi mitandaoni kugombana sio suluhisho mama aaah tusizidi kuvunja mwiko mama wa mapenzi yeti mi na we
Lola Sasa umeniacha na nani
Lola ludi kwangu Mimi oohooh
Lola Sasa umeniacha na nani mama yoo
Lola ludi kwangu Mimi mama yoo
Lola yamemwagika hayazoleki
Lola loola
Lola yamemwagika hayazoleki
Lola yamemwagika baba ,...
.....,..... umefanya pombe kuwa pacha wangu kicha ni mawazo kichwani mwang ...,.,.
SI unajua nakupend wewe
hayazoleki hayazoleki
Nadia Nadia wewe nakupend oooh