kwaheri-real Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
artist:Real dove
year:2022
album:Love songs
verse A
hivi ulinambia
utanipenda usiku mchana, pasipo matata
dua niloazima
kwangu umekua mwana mtundu,
wani achia machungu
nikijaribu kuku~eleza dia(stressed)
you dont listen machoni usha sinzia aha
moyoni naumia kihisia
najuta moyoni mwangu
mapenzi yashakimbia
alhamdhulilahi maulani nipe dua
meli yangu ishazama mwanzoni naugua
na umbali tumetoka,
kuanza tena me nahisi nimechoka
kwani mpenzi usha ona
mapenzi yetu hoi hadi haiwezi pona
(hook)
unaniliza,
ninajiuliza
mapenzi haya kwani yanaishaaa aha
Chorus
mpenzi utakua nami hadi lini
na moyo wako kwangu, kwaheri lishabaini
kwaheri kila laheri, huko kusini
mi nami eehh, nikajikaze eeehh
verse B
wasalimu wazazi wako
wambie pia hizo story za kwako
si kama sijihisi nmepoteza, nmepoteza
bali kua nawe ni kama simu mteja
dont worry i will be fine on my way up
i will be alone, with the pain no pleasure
forget your my dia
sito~kusaidia
you be on your way disconecting dia
forget it valentino
the coffee capachino
huku ngo, na my phone calls your dream off
outro
mpenzi utakua nami hadi lini
na moyo wako kwangu, kwaheri lishabaini
kwaheri kila laheri, huko kusini
mi nami eehh, nikajikaze eeehh