sijafika Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Artist:real dove
Title:sijafika
Year:sept 2022
Inspiration=[finding a real person who will be loving,
caring concerning you, for who you are is like finding
a unicorn in this century]
Linguistics:swahili/english
verse A(son)
kama mapenzi haya safari
nami kutoka kitambo nimetamani
sijaweza kupata wangu wa mwandani
nazo siku zinapita,,aaaahhha
hivi safari yangu haionekaani
nikianza najipata nko nyumbani
hivi nikimbilie kanisani
sielewi hili linani~kwaza mama
vipi historia yetu huko nyumbani,
ma uncle aunties mapenzi hivi watamani
kwenye vita hivi nitilie maanani
nahitaji wosia wako nambie basi
chorus
haya mapenzi me sielewi,
me kijana mdogo siwaelewi, sijawika
kila siku naotaga nao
nikiamka nimeachana nao, kabisa
verse B(mom)
mwanangu naomba unisikie
nimetenda lipi hadi uni~imbie
mwanzoni mwisho unielewe
kupata mpenzi wako usichelewee
duniani vita ujawika
molana anayetulinda,,, muite huyo kabisa
ancle na aunties wanajua
jua litawaka lakini giza laharakisha
ndoto zako usidhani kua
reality kwa maisha aaaaahhhaa
kama umenelewa nmemaliza
nahitaji kwenda kwa misa,,,woooooohhh
the #End##