Nimuabudu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimuabudu
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nilipozaliwa kwenye dunia
Alienilinda siku za shida
Siku zote ni Yesu (Yesu)
Daimatu ni Yesu (Yesu)
Basi pokea sifa, Eh Baba
Bwana wa mabwana, Hosanna
Sifa kwake Yesu (Yesu)
Na nitakuabudu (Mungu)
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Hakuna mwingine
Wa kumuabudu
Ila ni Wewe, Jehovah aah
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Hakuna mwingine
Wa kumuabudu
Ila ni Wewe, Jehovah aah
Amina, Aah aah
Amina twaimba Eeh Eeh
Tumeokolewa, Bwana umekua mwema
Sitaogopa nguvu za giza
Kwake Yesu na simama
Ndie mwamba ni salama.. Aaah
Ndie mwamba ni salama
Hakuna jambo kubwa sana Yeye hasiloliweza yeah
Amefanya maajabu siezi ku.. Eleza
Kwake Yesu na simama
Ndie mwamba ni salama.. Aaah
Ndie mwamba ni salama
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Hakuna mwingine
Wa kumuabudu
Ila ni Wewe, Jehovah aah
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Hakuna mwingine
Wa kumuabudu
Ila ni Wewe, Jehovah aah
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Hakuna mwingine
Wa kuabudiwa, ni Wewe Bwana
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Hakuna mwingine
Wa kuabudiwa, ni Wewe Bwana
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio Wewe
Nimuabudu nani mimi
Kama sio Wewe
Kama sio