Bebe Extra 20
Mikononi naweka moyo wangu
Nikomboe kwenye dhiki na faraja tuwe pamoja
Naamini busara yangu,
Na yako itatulinda, mbele ya wale wasiopenda!!
Laazizi!! Wewe ndie mchungaji wangu
Utanichunga jangwani na hata
Vichakani nitembeze kwenye marisho
Mabichi na mahala pa kupumzika,
Kando ya maji, Naamini hii buasara yangu na yako…!
Intro
I studio! Erasto machine!
Kolomboka!
Verse I
Kama kweli wanipenda bebe usiniache mpweke!
Na kama kweli utanitenda bebe nitalia pekee!
Hakika umeniteka bebe sitokuacha kamwe,
Kama tone la mvua liliacha mawingu
Kuja kwako! Likaacha kusikia majungu ya
Wafitini kukupenda wewe!
Reflain!!
Usidanganyike bebe! Bebeee!!
Tena mi najua! Wewe unanipenda bebe! Bebeee!!
(Bebe! Bebee Beebe! Bebelee! Bebee!)
*Repeat chorus 1)
Music instrument
Verse II
Nimekutunuku hata waseme bebe!
We ndio kila kitu!
Bila wewe Bebee!
Mimi sina kitu!
Mbele yako bebe! Mimi mtu mfu!
Reflain
Usidanyike beb! Bebeee!!
Tena mi najua! Wewe unanipenda bebe! Bebeee!!
(Bebe! Bebee Beebe! Bebelee! Listen and download music for free on Boomplay!...more
Bebe Extra 20 (1)
Title
Artist
-
1
More Albums by Melody Mbassa More
-
10
-
54
-
2,361
-
193
-
610
-
1,234
-
533
-
260
-
392
-
583
-
359
-
342
-
487
-
5,893
-
5,596
-
4,431
-
6,714
-
8,696
-
18k
-
24.2k
-
89.3k
-
21k
Bebe Extra 20 is a music album released in 2020. Bebe Extra 20 has 1 songs sung by Melody Mbassa. Listen to all songs in high quality and download Bebe Extra 20 songs on boomplay.com.
Related Tags: Bebe Extra 20, Bebe Extra 20 songs, Bebe Extra 20 songs download, download Bebe Extra 20 songs, listen Bebe Extra 20 songs, Bebe Extra 20 MP3 songs
Bebe Extra 20
Mikononi naweka moyo wangu
Nikomboe kwenye dhiki na faraja tuwe pamoja
Naamini busara yangu,
Na yako itatulinda, mbele ya wale wasiopenda!!
Laazizi!! Wewe ndie mchungaji wangu
Utanichunga jangwani na hata
Vichakani nitembeze kwenye marisho
Mabichi na mahala pa kupumzika,
Kando ya maji, Naamini hii buasara yangu na yako…!
Intro
I studio! Erasto machine!
Kolomboka!
Verse I
Kama kweli wanipenda bebe usiniache mpweke!
Na kama kweli utanitenda bebe nitalia pekee!
Hakika umeniteka bebe sitokuacha kamwe,
Kama tone la mvua liliacha mawingu
Kuja kwako! Likaacha kusikia majungu ya
Wafitini kukupenda wewe!
Reflain!!
Usidanganyike bebe! Bebeee!!
Tena mi najua! Wewe unanipenda bebe! Bebeee!!
(Bebe! Bebee Beebe! Bebelee! Bebee!)
*Repeat chorus 1)
Music instrument
Verse II
Nimekutunuku hata waseme bebe!
We ndio kila kitu!
Bila wewe Bebee!
Mimi sina kitu!
Mbele yako bebe! Mimi mtu mfu!
Reflain
Usidanyike beb! Bebeee!!
Tena mi najua! Wewe unanipenda bebe! Bebeee!!
(Bebe! Bebee Beebe! Bebelee!
Comments (0)
0/500
New Comments(0)
What do you think of this album?