Upepo
Mapenzi ya miaka mingi, yatoweka kwa meseji
Tupendane bila kujali, tutakuwa wapi kesho
Tangu tuchukiane, Hakuna aliyeniimbia wimbo mzuri tena
Ingawa gitaa hili, ni sawa na lile la zamani
Silangu tena, Yamesaulika…
Ukweli unapanda ngazi.
Chomist I
Upepo unafanya mauwa yachanue
Na mapenzi yalifanya mimi nisitulie
Upepo unafanya majani yapukutike
Usaliti ukanifanya na yeye mapenzi achukie
Baba … alisema
Pre chonus
Nani nani?
Atanihurumia
Nami …. Ihii…ihii anipende pia
Bridge (Melody Mbassa)
Mambo ya dunia si ya kwako hayakuhusu
Acha dunia iongee pekee yake
Ukweli wa mapenzi si wa kwangu, haunihu tena?
VERSE II (Melody Mbassa)
Kipi kimefanya macho
Yapatee ukung
Nani kaangusha kabati ni
Kizazi kilichopita
Nani amefanya macho yetu
Yapate uchungu
Nani kaangusha kabati ni
Kizazi kilichopita
Mwezi mchanga mrembo anakuja
Upepo utavuma tena?
Ujana maji ya moto yakienda hayarudi
Baba … alisema
Pre chonus
Nani nani?
Atanihurumia
Nami …. Ihii…ihii anipende pia
Bridge (Melody Mbassa)
Mambo ya Listen and download music for free on Boomplay!...more
Upepo (1)
Title
Artist
-
1
More Albums by Melody Mbassa More
-
10
-
54
-
2,361
-
193
-
610
-
1,234
-
533
-
260
-
392
-
583
-
359
-
342
-
487
-
5,893
-
5,596
-
4,431
-
6,714
-
8,696
-
18k
-
24.2k
-
103.7k
-
21k
Upepo is a music album released in 2019. Upepo has 1 songs sung by Melody Mbassa. Listen to all songs in high quality and download Upepo songs on boomplay.com.
Related Tags: Upepo, Upepo songs, Upepo songs download, download Upepo songs, listen Upepo songs, Upepo MP3 songs
Upepo
Mapenzi ya miaka mingi, yatoweka kwa meseji
Tupendane bila kujali, tutakuwa wapi kesho
Tangu tuchukiane, Hakuna aliyeniimbia wimbo mzuri tena
Ingawa gitaa hili, ni sawa na lile la zamani
Silangu tena, Yamesaulika…
Ukweli unapanda ngazi.
Chomist I
Upepo unafanya mauwa yachanue
Na mapenzi yalifanya mimi nisitulie
Upepo unafanya majani yapukutike
Usaliti ukanifanya na yeye mapenzi achukie
Baba … alisema
Pre chonus
Nani nani?
Atanihurumia
Nami …. Ihii…ihii anipende pia
Bridge (Melody Mbassa)
Mambo ya dunia si ya kwako hayakuhusu
Acha dunia iongee pekee yake
Ukweli wa mapenzi si wa kwangu, haunihu tena?
VERSE II (Melody Mbassa)
Kipi kimefanya macho
Yapatee ukung
Nani kaangusha kabati ni
Kizazi kilichopita
Nani amefanya macho yetu
Yapate uchungu
Nani kaangusha kabati ni
Kizazi kilichopita
Mwezi mchanga mrembo anakuja
Upepo utavuma tena?
Ujana maji ya moto yakienda hayarudi
Baba … alisema
Pre chonus
Nani nani?
Atanihurumia
Nami …. Ihii…ihii anipende pia
Bridge (Melody Mbassa)
Mambo ya
Comments (1)
0/500
New Comments(1)
100829398
niceeeee Wanyaamaa