Umependeza
VERSE 1:
Umependeza ! siku ya leo oh
Umepanda cheo ! ooh mi mumeo,
Oh oh!
Nitakulinda siku zote maishani ihhi!
Nishike mkono hii leo,
Nikwambiie jambo mumeo,
Mungu atupenda sana! Aahah!
Siku zote Maisha ni vitendo,
Mimi leo nimekuwa mumeo
Ujue nakupenda sana !!
CHORUS: I
Ni wewe! Ni wewe!
Moyo umekuchagua wewe!
Leo nakuvisha pete wewe!
VERSE II: Luiza Mbutu
Umependeza siku ya leo ohh!
Umepanda cheo mimi ni mkeo,
Nitakutii siku zote maishani ihh,
Nishike mkono hii leo
Nikwambie jambo mkeo
Mungu atupenda sana! Aah ah! Siku zote Maisha ni vitendo,
Mimi leo nimekuwa mkeo
Ujue nakupenda sana!
REPEAT CHORUS:
Reflain:
Mapenzi ya dhati (mon amouw ! x2)
Mapenzi ya kweli (mon amour! X2)
Mapenzi ya dhati (mon amouw ! x2)
Mapenzi ya kweli (mon amour! X2)
Mapenzi ya dhati (mon amouw ! x2)
Mapenzi ya kweli (mon amour! X2) Listen and download music for free on Boomplay!...more
Umependeza (1)
Title
Artist
-
1
More Albums by Melody Mbassa More
-
12
-
2,418
-
199
-
624
-
1,257
-
539
-
265
-
403
-
587
-
366
-
347
-
493
-
5,924
-
5,614
-
4,444
-
6,744
-
8,714
-
18k
-
24.3k
-
103.9k
-
89.5k
-
21k
Umependeza is a music album released in 2024. Umependeza has 1 songs sung by Melody Mbassa. Listen to all songs in high quality and download Umependeza songs on boomplay.com.
Related Tags: Umependeza, Umependeza songs, Umependeza songs download, download Umependeza songs, listen Umependeza songs, Umependeza MP3 songs
Umependeza
VERSE 1:
Umependeza ! siku ya leo oh
Umepanda cheo ! ooh mi mumeo,
Oh oh!
Nitakulinda siku zote maishani ihhi!
Nishike mkono hii leo,
Nikwambiie jambo mumeo,
Mungu atupenda sana! Aahah!
Siku zote Maisha ni vitendo,
Mimi leo nimekuwa mumeo
Ujue nakupenda sana !!
CHORUS: I
Ni wewe! Ni wewe!
Moyo umekuchagua wewe!
Leo nakuvisha pete wewe!
VERSE II: Luiza Mbutu
Umependeza siku ya leo ohh!
Umepanda cheo mimi ni mkeo,
Nitakutii siku zote maishani ihh,
Nishike mkono hii leo
Nikwambie jambo mkeo
Mungu atupenda sana! Aah ah! Siku zote Maisha ni vitendo,
Mimi leo nimekuwa mkeo
Ujue nakupenda sana!
REPEAT CHORUS:
Reflain:
Mapenzi ya dhati (mon amouw ! x2)
Mapenzi ya kweli (mon amour! X2)
Mapenzi ya dhati (mon amouw ! x2)
Mapenzi ya kweli (mon amour! X2)
Mapenzi ya dhati (mon amouw ! x2)
Mapenzi ya kweli (mon amour! X2)
Comments (0)
0/500
New Comments(0)
What do you think of this album?