Ingoje Ahadi
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Ingoje ahadi ya Mungu kwako alosema
Yeye ni mwaminifu atatimiza Neno lake
Uweza unaye Mungu atendaye neno
Simama kwenye ahadi hiyo
Ingoje(ngoja) Ingoje
Ingoje ahadi ya Mungu huku ukiomba
Ingoje(usichoke kuomba) Ingoje
Ingoje ahadi ya Mungu kwako
=====
Kama mvua inavyoinyeshea nchi
Haiachi mpaka imezalisha mbegu hiyo
Ndivyo lilivyo na neno lake Mungu wetu
see lyrics >>Similar Songs
More from Beatrice Mhone
Listen to Beatrice Mhone Ingoje Ahadi MP3 song. Ingoje Ahadi song from album Ingoje Ahadi is released in 2016. The duration of song is 00:04:58. The song is sung by Beatrice Mhone.
Related Tags: Ingoje Ahadi, Ingoje Ahadi song, Ingoje Ahadi MP3 song, Ingoje Ahadi MP3, download Ingoje Ahadi song, Ingoje Ahadi song, Ingoje Ahadi Ingoje Ahadi song, Ingoje Ahadi song by Beatrice Mhone, Ingoje Ahadi song download, download Ingoje Ahadi MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Daniel Zacharia
gud song i lk all time