![Upendo Wa Kweli](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/3E/DF/c02d3a1aa8f646ea9026609d15e2c52e_464_464.jpg)
Upendo Wa Kweli
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Upendo Wa Kweli - Ambwene Mwasongwe
...
siku moja nilipigiwa simu ilikuwa simu ya mwaliko
jumapili tutamshuruku mungu kwa sadaka ya pekee uje uimbe kanisani kwetu
mda ulipofika wimbo ukaimbwa wao wakaja mbele wamemtanguliza kijana na binti moja msemaje wao akaanza kuotoa hutuba mfupi kabla sadaka haijatolewa
mungu ninakushukuru sana kwa kwa kumponywa binti yangu aliyeugua kichaa pia ninakushukuru kwasababu kijana huyo alionesha upendo waajabu nilipomwambia achana na mwanangu hakufai tena yeye alijibu nimempenda nitaoa hivyo hivyo
sijawaiona upendo kama huu
sijawaiona upendo kama huu
Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Upendo Wa Kweli MP3 song. Upendo Wa Kweli song from album Misuli Ya Imani is released in 2014. The duration of song is 00:08:25. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Upendo Wa Kweli, Upendo Wa Kweli song, Upendo Wa Kweli MP3 song, Upendo Wa Kweli MP3, download Upendo Wa Kweli song, Upendo Wa Kweli song, Misuli Ya Imani Upendo Wa Kweli song, Upendo Wa Kweli song by Ambwene Mwasongwe, Upendo Wa Kweli song download, download Upendo Wa Kweli MP3 song
Comments (51)
New Comments(51)
martha6262
NELSON BLASIUS
kaka uhuu wimbo unapandishaga viwango vyangu vya iman
Atugonza Adventina
Katika wimbo huu najifunza kitu
McharoSesy
Upendo
Queenmackson
Fav song ❤️
wonderful song,iko nguvu ndani ukiimba hii nyimbo mungu akutumie zaid mtumish
Rachel Mwimbage
Ma favourite song
anitha Deocles
i like it
nice song it makes person to be strong even though we faced challenges but still there is hope for those who still love us
Real Albert08
nyimbo nzuri haichuji kwakweli
male3iply
[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623]
FELIX BULLY
2022
ignasi emanuel
[0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f623][0x1f623][0x1f623]
wimbo huu unanifanya nilie san tena san