- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Ukipata - Ambwene Mwasongwe
...
Huuuuuhuuuu, yayayaaaaa!
Watoto yatima
Ilitokea hawakupenda
Ndio mzunguko wa maisha
Na kama lingekua fungu wasingechagua
Wanahangaika
Wanateseka
Wanapata shida
Hawana tumaini
Wameshaachwa
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Ukipata MP3 song. Ukipata song from album Misuli Ya Imani is released in 2014. The duration of song is 00:07:51. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Ukipata, Ukipata song, Ukipata MP3 song, Ukipata MP3, download Ukipata song, Ukipata song, Misuli Ya Imani Ukipata song, Ukipata song by Ambwene Mwasongwe, Ukipata song download, download Ukipata MP3 song
Comments (30)
New Comments(30)
138775546
Hope Mallyabbhef
moja kati ya waimbaji mnao barikiwa na nyimbo zake
samwelixebk6
mungu mwenye nguvu atatufundisha kuyajuwa matendo yaliyo mema amen"
pendo robart mwankusye
[0x1f641][0x1f641] namshukur mungu kwa kujifariji
zackayoakunakamamama@gma
safi sana aki maisha nimeyaona kwa macho
Deleted User
Nyimbo nzuri
Tumsifu Geofrey
MUNGU mwaminifu sana
143973989
nabarikiwa sana kupitia nyimbo zako ❤️
Neema Mwangi3n4ii
huduma yako ni njema sana kaka, Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu...
Togolani Kennedy
Daaaa nikwel kabisa ubarikiwe mtumishi unaitumia sanaa yako kwa uweledi mungu azidi kuwa pamoja nawe
127580758
wimbo tamu alafu m2lifu sana
innimwakleah
[0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f613][0x1f613][0x1f613]
Mungu ni mwema nyakati zote [0x1f60e]