bonge la toto
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
bonge la toto - mtusafi
...
Maya ma bebe Maya,Maya ma bebe maya. Magembe Music baby Maya ma bebe Maya ma bebe Maya ma bebe Nyalu boy Zungu Beatzh Sabraaaaaaah I get u Maya yeeeh eeeh Maya usije ukanitosaaah Yeeeeh maya usije ukanitoooka Mmmhh,Mmmhh Yeeeh Maya unabody la kibantu, Kibantuu Jina langu umechora tatoo. Waniweza me kwajuu kwajuu maya yaaah Maya nipe nitoe rock kidogoo Michezo ya ku'shake shake si gogo Maya maya maya weeeh, Maya Radha yako skarigulu,Tamu kabisaaaah Kwako niko huru, ndo nishafika aaaah Sina uwoga kwa kunguru, na sitoruka Mayaah Nishaacha kusulusulu nasitilika aaaah. Maya maya maya,Maya maya maya Eeeh, Bonge la toto. Maya maya mayaaaah,maya maya maya, Bonge la toto. Bakula Basheee,Abakula Baahee Eeeh Bonge la toto.. Bakula Basheee, Abakula prokoto Bonge la toto.. Moyo shika adabu, sitakupenda yeeh pekee anatoshaaaah. Kimini nikabu domo la denda macho ya kupepesaaah. Na karangi kamudomo aaaaah eeeeh baby utaniuaeeeh aaah eeeeh. Usianzishe mugomo aaaah eeeh wivu utaniuaeeeh aaah eeeeh. Aaaaaah Maya ma bebe mayaah. Maya ma bebe Oooh mayaah. Maya ma bebe mayaah. Mayaa maya Eeeeh. Maayaah Ooh maya. Maya ma bebeeeh. Maya maya maya,Maya maya maya Eeeh Bonge la toto. Maya maya maya,Maya maya maya Eeen Bonge la toto Bakula Bashee, Abakula Eeeh Bonge la toto Bakula Bashee,Abakula prokoto bonge la toto Eeeeeh Bonge la toto yaaaah, Aaah aaah Bonge la toto Na'delete takataka zotee, Na'delete. Aaaaanh...Teiinaaah, Is K LOH Na'delete takataka zotee, Na'delete. DollSouth is the Bulding Magembe Family Ankoo G Ntakucheki baadae. Yaaah.
Similar Songs
More from mtusafi
Listen to mtusafi bonge la toto MP3 song. bonge la toto song from album bonge la toto is released in 2022. The duration of song is 00:02:54. The song is sung by mtusafi.
Related Tags: bonge la toto, bonge la toto song, bonge la toto MP3 song, bonge la toto MP3, download bonge la toto song, bonge la toto song, bonge la toto bonge la toto song, bonge la toto song by mtusafi, bonge la toto song download, download bonge la toto MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Leila osmund
kubwaaa bonge la toto