Starehe Yako ft. Jux
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Starehe Yako ft. Jux - Nay Wa Mitego
...
Touch touch Ayie ayie baba heee *2 Unazaliwa mara moja na unakufa mara moja ata kuishi unaish mara moja sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja tofauti ni matamanio hapa ndo penye vihoja kila mtu na starehe yake bhana ndo maana yake
Starehe yangu ni mziki napenda na wanawake kuna wapenda tungi wazee wa gambee raha ya pombe ulewe hyo ndo starehe, wavuta bangi nae wanasema hyo ndo starehe hawezi kula, hawezi lala mpaka avute mwngne starahe yake yeye ni kupiga chabo tu mechi ucheze ww ukapambane ukapige deo hyo kama hupendi starehe yangu nam sipend ya kwako kila mtu na stareh yake bana we fanya ya kwako me naona fresh tu yan ni raha tu maisha matamu ila mafupi we enjoy tu
Ayeeee ayeeee babaaaaaa *2
Jux
Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable na watoto sio tu vibigibig napenda na vipotabo kila mtu na starehe yake kila m2 kila m2
Starehe ni nying na kila mtu ana yake usimwngilie mtu kwwnye starehe yake starehe izi starhe zingne bn noma sana kuna wakina dada starehe yao kusagana, anaeacha mwanamke ndani anaenda kupiga nyeto hyo ndo starehe yake usije dhani ana mapepooo kwenye starehe ya mapenz akiamung tupo weng ya kuzin moton tutaenda wengi kila mtu na starehe yake bn ndo maana yake naejua utamu wake bn ndo maana yake uvutaji wa sigara ni atar kwa afya yako hakuna noma vuta sindo starehe yakE
see lyrics >>Similar Songs
More from Nay Wa Mitego
Listen to Nay Wa Mitego Starehe Yako ft. Jux MP3 song. Starehe Yako ft. Jux song from album Raisi Wa Kitaa is released in 2022. The duration of song is 00:03:19. The song is sung by Nay Wa Mitego.
Related Tags: Starehe Yako ft. Jux, Starehe Yako ft. Jux song, Starehe Yako ft. Jux MP3 song, Starehe Yako ft. Jux MP3, download Starehe Yako ft. Jux song, Starehe Yako ft. Jux song, Raisi Wa Kitaa Starehe Yako ft. Jux song, Starehe Yako ft. Jux song by Nay Wa Mitego, Starehe Yako ft. Jux song download, download Starehe Yako ft. Jux MP3 song
Comments (51)
New Comments(51)
jnasinda@1104
Raisi wa kitaa
Diamondplatnumz359ip
very nice
Manuel Gonzalezz.
Qally sanaaaaaa
Debora fdk0a
Noma sana bro
Ayeee Ayeee ayeeebaba
cusoow0uf
bit ni sawa na ile ya Tunda man-mshkaji
Ikram Likuna
noma Sana aiyeee,,, aiyeee baba..
658948754
song zur
sememani halfani
nomaaaaa
Hance JG7
✌
Godfrey Willykihamo
tunaishi mara 1
rege