![Ndivyo Ulivyo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/3D/95/rBEeMllNR8aAYQLFAACXMMHdfJ4048.jpg)
Ndivyo Ulivyo
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2011
Lyrics
Ndivyo Ulivyo - Rose Muhando
...
Rose Muhando Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo, Nilidhani 'kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo, Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyo, Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh, Si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh, Wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo, Mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo, Nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh,
Jehova, Kumbe ndivyo ulivyo;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga. 2) Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji, Baba kumbe ndivyo ulivyo oh, Usiku na mchana hulali husinzii Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh, Pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh, Huingilia kati 'yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo, Msaada wakati tunapochoka, Yehova
Ndivyo ulivyo ooh;
3) Mungu uliwakusanya walioachwa, Ukawakumbatia baba ndivyo ulivyo, Waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh, Waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh, Vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba kumbe ndivyo ulivyo oh, Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Mungu we eeh kumbe ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga;
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Ndivyo Ulivyo MP3 song. Ndivyo Ulivyo song from album Utamu Wa Yesu is released in 2011. The duration of song is 00:09:10. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Ndivyo Ulivyo, Ndivyo Ulivyo song, Ndivyo Ulivyo MP3 song, Ndivyo Ulivyo MP3, download Ndivyo Ulivyo song, Ndivyo Ulivyo song, Utamu Wa Yesu Ndivyo Ulivyo song, Ndivyo Ulivyo song by Rose Muhando, Ndivyo Ulivyo song download, download Ndivyo Ulivyo MP3 song
Comments (81)
Top Comments (1)
Fadhil Mohamedy
New Comments(81)
jthuraa
I love this ❤️so much ❤️ love
gmoohamed
mungu azidi kukfnulia mengi mama
178018392
thank your God
vickiden
amen
Patrickpeterx29qm
May God bless you mamaa. your songs are always inspiring me .
Dee edwardso6jsl
very blessing song for me God bless you Rose
Phellow
wow
Phellow
Roziiiii
Abijah Kilonzo
❤️
Happy Allan34tfl
april 2023 Glorifying God through this song
ramadhani bg0r9
dah mm ni Islamic ila kwa hii nyimbo hhuwa afarijika sana god bless madam Rose muhandoooooo
153419685
I like it
tulia kwa mungu nampenda sana huyu mungu wetu na familia yangu>