![Sitanyamaza](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3D/47/rBEeNFlNO9WACdcaAACKuYT7YE8283.jpg)
Sitanyamaza
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Sitanyamaza - Rose Muhando
...
Eeeehhhh…. Mimi Mungu
Matendo nitalia, Kwa sinani nitaomboleza
Sodoma nitanung'unika, Mipakani nitashambulia
Mijini wameniacha, Kila mara nitashambulia
Maisha ya wanadamu, Yamenichosha.
Oh oh mimi
Sitanyamaza, wala sitanyamaza
Lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao
Maovu yenu ninyi, pamoja na baba zenu
nasema nitalipa ndio mjue mimi ni Bwana
see lyrics >>Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Sitanyamaza MP3 song. Sitanyamaza song from album Jipange Sawa Sawa is released in 2009. The duration of song is 00:07:15. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Sitanyamaza, Sitanyamaza song, Sitanyamaza MP3 song, Sitanyamaza MP3, download Sitanyamaza song, Sitanyamaza song, Jipange Sawa Sawa Sitanyamaza song, Sitanyamaza song by Rose Muhando, Sitanyamaza song download, download Sitanyamaza MP3 song
Comments (36)
New Comments(36)
Ndayisenga Alexis Congera
Ndayisenga Alexis Congera
napenda nyimbo zako
Erick Fadhili
nyimbo zenye upako
Frank fortunatus ld6gh
nice
Droma Davidwiqd9
Uganda appreciate your musics
Evans Okongo
iko poa imetoka lini
josehpvt48c
[0x1f61b]
josehpvt48c
@patriciajoseph:
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/07/ff0f0f20dcbe437c908ce08ac97284e0.jpg)
josehpvt48c
Mungu m-bariki msanii huyu aendelee kuitangaza injili ya wakovu wako hakika usinyamaze Rose muhando
Upendo Danielkoq4f
[0x1f60e][0x1f60e]
Fednandi kisinda
[0x1f60e]
official tancred
daa kwel huu wimbo unanibariki sana Mungu akuinue zaidi
iyi ndirimbo