Si Salama
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Si Salama - Rose Muhando
...
Linda moyo wako mama mama maama! Kuliko yote ulindayo mama aah! Maana ndiko zitokako chemichemi za uzima maaama, Zitokako chemichemi za uzima mama aah, Ulisawazishe pito na mguu wako oh! Ondoa mguu wako maovuni mama; Safari ulioianza si salama,
Huko unakokwenda si salama,
Kumejaa mauti si salama, Mchumba uliyenaye si salama, Anakuwazia mabaya si salama, Tazama samani zake si salama, Chunguza mwenendo wake si salama, Mwenzako mshirikina si salama, Ana mikataba na kuzimu si salama, Waganga wanamjua si salama aah wo!
Utajiri ulionawo si salama, Elimu uliyonayo si salama, Na huyo uliyenaye si salama, Ingawa anavutia si salama, Hata kama ni namba nane si salama Hata kama ana shape zuri si salama Mbona atake kupima mjumba wako huyo,? Daktari anafahamu si salama, Amekimbia majibu si salama aah! Huna amani, una mashaka? Maisha yako, ni ya mashaka? Kazini kwako, una mashaka,? Ona afya yako ni hatihati, Furaha yako imetoweka,? Tumaini lako, limepotea? Ulivyozunguka sasa vyatosha, We njoo, Yesu anakupenda, Lete kwa Yesu, mizigo ya dhambi zako, wewe Tua mizigo yako, Kalvari tua mizigo yako hooo! Salama kwa Yesu salama ×3 Salama×2 kwa Yesu salama, Shwari ×2 kwa Yesu salama, Magonjwa hakuna, kwa Yesu salama Mauti hakuna, kwa Yesu salama, Rudi, kwa Yesu salama, Njoo, kwa Yesu salama, Rudi, kwa Yesu salama, Wewe, kwa Yesu salama×2 haa! Analojina lakini si salama, Analoitwa usiku si salama! Iishi ×2 kwa Yesu salama, Subiri ×2 kwa Yesu salama, Tosheka×2 kwa yesu salama, Mashaka hakuna, kwa Yesu salama, Rudi, kwa Yesu salama, Wewe kwa Yesu salama×2 haa! Wewe! wewe! Aaaai yelele ah, mama ma Yelele yelele, (Refrains) Salaaama mamama we mama, We mama salama kwa Yesu u, (Refrains) Wololo×2
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Si Salama MP3 song. Si Salama song from album Jipange Sawa Sawa is released in 2009. The duration of song is 00:05:44. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Si Salama, Si Salama song, Si Salama MP3 song, Si Salama MP3, download Si Salama song, Si Salama song, Jipange Sawa Sawa Si Salama song, Si Salama song by Rose Muhando, Si Salama song download, download Si Salama MP3 song
Comments (24)
New Comments(24)
Phellow
frankjames j5n54
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2348053432125
Chipukizi Kyandorh7f8
hapa rose uliiimba dada ya zaman lakn kama ndo inatoka leo kwel si salama
Rose Ongaro
best
Joseph Ndogoto
Kwa Yesu ni salama
joelhw8sl
kasolo
joelhw8sl
rose muhado
Caroline di3um
this songs always blesses me
Amanya Ronalde0gqn
asant
Morahc3lmu
zilizopendwa ......rose muhando album ya jipange sawasawa,,nibebe,,si salama
Phellow
Haka kawimbo ni katamu jamani
Jonas Jonh track
ii nyimbo kali xn
Rose Muhando again with her good songs