Namtaka Yesu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Namtaka Yesu - Rose Muhando
...
Yahweh......,nainua macho nitazame pande zote, nione kama yupo wa kumweleza shida zangu,naona hakuna wote wamepungukiwa,hawana furaha,hawana matumaini,nakumbuka habari za yule mwanamke,aliyetokwa damu miaka kumi na miwili,aliposikia kwamba yesu anapita,aliazimia akasema moyoni mwake,nitajisongeza,mpaka nifike kwa yesu, nitajisongeza mbele ya umati wa watu,nitajipenyeza mpaka nifike kwa yesu,niguse pindo lake,ili nipate uzimaakajisongeza mpaka akafika kwa yesu,,akagusa pindo lake mara akawa mzima, ponaa....,
NAMI mwana ni sawa na yule mwanamke,aliyetokwa damu miaka kumi na miwili,nimeshasikia habari za matendo yako,nimeazimia
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Namtaka Yesu MP3 song. Namtaka Yesu song from album Jipange Sawa Sawa is released in 2009. The duration of song is 00:04:57. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Namtaka Yesu, Namtaka Yesu song, Namtaka Yesu MP3 song, Namtaka Yesu MP3, download Namtaka Yesu song, Namtaka Yesu song, Jipange Sawa Sawa Namtaka Yesu song, Namtaka Yesu song by Rose Muhando, Namtaka Yesu song download, download Namtaka Yesu MP3 song
Comments (21)
New Comments(21)
Makoloni Makolonihw14z
Makoloni Makolonihw14z
mungu akubariki
Phellow
[0x1f618]
Hyline Kwambokap845h
nani ataeza nifunza kuimba??? inspirational songs from TZ
Adonis Sifa
I love you Rose
frank jamesbxuw1
If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give If you have zenith Bank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Online cheque deposit .. I have a direct zenith log tools now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank account.. don't give me new account within 5 hours time the job is done +2347063796632 new account within 5 hours time the job is done +2347063796632
Twishime Kanyamanza
vizuri sana
Abiut
I was young and i had to always pick my mum from the bus station at night so this song used to play from a music store and it blessed me so much, so i was in Kenya for vacation and the driver played it on my way from Eldoret to Nairobi and it was emotional , God bless Rose Muhando for me.
Plty da prtty
nikiwa napita kweny misuksuko huu wimbo unanifarij sanaa napat iman nazid songa mbele
Caro8zcen
Ooh good
Frenk Yohana6w5yc
hiii nyimbo huwainani bariki sana nikiwa napita kwenye zuriba
Zuena Abel
toka nikiwa mdogo ni shabiki wa mama Rozi Mhando
mungu akubariki