
Siku Ya Ndoa ft. Stamina
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Siku Ya Ndoa ft. Stamina - Truba Tz
...
..........
eehh kila kulipokucha asubuhi nlikutazama uzuri wako sijui ulinichanganya nikawa sipindui ndo hapo nlipokwama no drama I used to call you baby mama
your the in the million your the one haaa your the one in the million no I used too
your the one in the million your the one haaa kama ni uwanjani we ni middle uliumwa nlikupa Mpaka Figo bila kusukubwa mbele ya dulla na frenk lyimo
nlipenda vingi kwako unajari mfano nlipokwama ulihamsha familia ilipendwa couple nilikesha macho nlipouwawa ulinipa Hela ya bear nakumbuka ulivyosema since day one kwamba unanipenda me deyjab yeah nlipenda ulivyocheza unavimeno flani nlipenda ulivyocheka
kumbe yake hayakuwa mapenzi hukunipa namba me nkaingia na jezi me ni mshamba nimefeli na nna vyeti ukanambia babe thank you Kila baada ya mechi huna adabu we unacheat kitandani kwangu huna aibu unacheat mbele ya wanangu sometimes no replys sent messages no replys nmenunua new messages
Kwann umenicheat siku ya ndoa men huyo mtoto so wakwangu cku ya ndoa ndoa men umenidharaulisha siku ya ndoa nakatisha maisha siku ya ndoaa
yeah ahh Siku ya ndoa Huwa ni siku ya kuenjoy mapenzi mahuge yaan mapenz hayapoi ila nnachokiona ahh nkoo hoi maana damu ni nying utasema wodi ya MOI hivi vifo vingapi vinatokea kisa mapenzi na vilema vingapi vinaletwa na huu ushenzi mapenzix3 nmekuita Mara 3 unaroho Mbaya Sana hupendi furaha za watu let tell this ukiona mnapendana pendaneni na wale wa show time mkikutana meganeni na wa kusimamia ukucha kileleni tulieni na mkiona mmeshindwana Haina maswali mwaganeni Kuna wangapi wanajinyonga kisa kutendwa na anaacha familia hazina sehemu ya kwenda maana kwenye maumivu lazma Kuna visasi ndo sababu kwenye mapenzi wanapigana risasi tumechoka kuzika ndugu kisa mapenzi tumechoka na hatutaki Tena hutokee huu ushenzi life is not fair and love is not there lest in peace watu wote waliotangulia amen
see lyrics >>Similar Songs
More from Truba Tz
Listen to Truba Tz Siku Ya Ndoa ft. Stamina MP3 song. Siku Ya Ndoa ft. Stamina song from album Siku Ya Ndoa is released in 2022. The duration of song is 00:03:51. The song is sung by Truba Tz.
Related Tags: Siku Ya Ndoa ft. Stamina, Siku Ya Ndoa ft. Stamina song, Siku Ya Ndoa ft. Stamina MP3 song, Siku Ya Ndoa ft. Stamina MP3, download Siku Ya Ndoa ft. Stamina song, Siku Ya Ndoa ft. Stamina song, Siku Ya Ndoa Siku Ya Ndoa ft. Stamina song, Siku Ya Ndoa ft. Stamina song by Truba Tz, Siku Ya Ndoa ft. Stamina song download, download Siku Ya Ndoa ft. Stamina MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Rockson Nuhu
Dennis Nyabwisho
Asee hatr sanaa
nakibal kinoma noma stamina the boy unajua