UZAIDI BWANA
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA
U ZAIDI...
Uliwalinda watumishi wako kwenye
Lile tanuru la moto
Ukaziba vinywa vya simba
Juu ya yule Mtumishi wako
Jina lako latukuka , Jina lako latuponya
Jina lako lafariji latia nguvu... BWANA
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA...
see lyrics >>Similar Songs
More from Pascal Joseph
Listen to Pascal Joseph UZAIDI BWANA MP3 song. UZAIDI BWANA song from album UZAIDI BWANA is released in 2022. The duration of song is 00:07:18. The song is sung by Pascal Joseph.
Related Tags: UZAIDI BWANA, UZAIDI BWANA song, UZAIDI BWANA MP3 song, UZAIDI BWANA MP3, download UZAIDI BWANA song, UZAIDI BWANA song, UZAIDI BWANA UZAIDI BWANA song, UZAIDI BWANA song by Pascal Joseph, UZAIDI BWANA song download, download UZAIDI BWANA MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Pascal Joseph
Mungu akupe mafanikio kak ..mwanangu wa JKT
richard2pvz
Mungu akupe mafanikio kak ..mwanangu wa JKT
Pascal Joseph
Amen Napokea baraka zako kaka... Pia MUNGU akufanikishe kaka angu
bro uzidi kufanikiwa ndugu yangu
Godfrey Kibona
bro uzidi kufanikiwa ndugu yangu
David Mungure_
keep it up✊
Nashukuru sana kaka … Pia nakutakia Mafanikio ktk kila upangalo kwny maisha yako …