UZAIDI BWANA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA
U ZAIDI...
Uliwalinda watumishi wako kwenye
Lile tanuru la moto
Ukaziba vinywa vya simba
Juu ya yule Mtumishi wako
Jina lako latukuka , Jina lako latuponya
Jina lako lafariji latia nguvu... BWANA
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA...
Zaidi ya yote, Zaidi ya yote
Uliniumba kwa mfano wako
Zaidi ya yote, Zaidi ya yote
Ukanipa na Uzima
Zaidi ya yote, Zaidi ya yote
Ukanifia Msalabani
Zaidi ya yote, Zaidi ya yote eeh...
BWANA WEWE NI ZAIDI YA VYOTE...
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA
U ZAIDI ya vitu vyote BWANA...
Haufananishwi na vitu vyote BWANA
Nakuamini kuliko vyote BWANA...