- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Nyundo - Pillars of Faith Ministers
...
.......
nilikua kwenye halaiki,
Yesu alipokufa
nikamuona alivoning'inia
Mwokozi wangu
nikaliona taji la miiba na vijito vya damu yake huyu ndie tabibu wetu Sasa mmemfanyia nn nikajitosa miguuni na kwahasira nikaita
ninani kamtundika hapo juu mtoto wa amani...
Ni Nani kamtundika hapo juu jitokeze unikabiri......
Ni nani kamtundika hapo juu na halaiki ikanichekelea nikageuka nikaiona nyundo mkononi mwangu×2
see lyrics >>Similar Songs
More from Pillars of Faith Ministers
Listen to Pillars of Faith Ministers Nyundo MP3 song. Nyundo song from album Nyundo is released in 2014. The duration of song is 00:05:07. The song is sung by Pillars of Faith Ministers.
Related Tags: Nyundo, Nyundo song, Nyundo MP3 song, Nyundo MP3, download Nyundo song, Nyundo song, Nyundo Nyundo song, Nyundo song by Pillars of Faith Ministers, Nyundo song download, download Nyundo MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Kevin ikkho
Rose51sip
The song is a blessing and reminds me to be mindful of my actions . Thanks for the song
The song has been blessing to me i can testify this[0x1f623]i love the song