- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Hasidi - Brother Nassir
...
leo nami nitasema uamenfika koonihudhihirisha salama wakikuhenga matoni hudhihirisha salama wakikuenga matoni hasidi hana alama wala kitone moyoni hasidii hasidiii hasidii hana sababu akikuchukia hasidiii hasidii hasidi hana sababu akikuchukiaa ooh japokuwa sipendeki sina zuri hta moyana wala sibabaiki si ajabu natambua japokuwa sipendeki sna zuri hta moya na wala sibabaiki si ajabu natambua na wala sibabaiki si ajabu natambua nyoka hawi na rafiki mwisho wake humuuwa hasidiii hasidiiii hasidi hana sabbu akikuchukiaaa hasidiii hasidiii hasidi hana sabbu akikuchukiaaa ooh nakunaswhi swahibu hya tia maanan nenda mwendo taratibu uwajue kwa makin nakunaswih swahbu hya tia maanan nenda mwendo taratibu uwajue kwa makin nenda mwendo taratibu uwajue kwa makini hasidi kma kurabu halikumbuk hisani hasidii hasidii hasid hana sabbu akikuchukiaa hasidiii hasidiii hasid hana sabbu akikuchukiaaa ooh hasidi mpe talaka usimuingie chini ukimuona acheka ngiwa nawoga ruhuni hasidi mpe talaka usimuingie chini ukimuon acheka ngiwa na woga ruhuni ukimuon acheka ngiwa na woga ruhuni ana mashingo ya nyoka kutokudhie moyonii hasidiii hasidii hasidi hana sabbu akikuchukiaa hasidiii hasidii hasid hana sabbu akikuchukiaa ooh leo nakupa yakini upate tambuaa hasidi hana sabbu akikuchukiaa ooh nsikie kwa makin nawe utajua hasidi hana sabbu akikuchukiaa ooh kuwa karbu na ww ataka kuua hasidi hana sabbu akikuchukiaa ooh mbele atakuchekea anakuchukia hasidi hana sabbu akikuchukiaa ooh kma yy amekosa na ww ukosee hasidi hana sabbu akikuchukiaa aah yy atakapofeli na ww ufelii hasidi hana sabbu akikuchukia oooooh hana hana hasidi hana hasidi hana sabbu akikuchukiaa aaaoo
Similar Songs
Listen to Brother Nassir Hasidi MP3 song. Hasidi song from album Cocktail is released in 2022. The duration of song is 00:04:05. The song is sung by Brother Nassir.
Related Tags: Hasidi, Hasidi song, Hasidi MP3 song, Hasidi MP3, download Hasidi song, Hasidi song, Cocktail Hasidi song, Hasidi song by Brother Nassir, Hasidi song download, download Hasidi MP3 song