![Wa Mungu Uwazi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/AE/5E/rBEeNF2a6taAJCL0AACBWteSy_k432.jpg)
Wa Mungu Uwazi
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2017
Lyrics
Wa Mungu Uwazi - East African Melody
...
mja hufiki popote ni bure chako kiburi dunia ni yetu sote
jua wabaya si woote wapo wataonisitir rixiki hutoi wewe mja usitahayari..
ukinisusia wewe sishtukii moyoo wanguu×2
nitapata mwenginewe atojali shida zangu×2masama mimi na wewe sio kududio langu ukinibagua wewe hanitupi mola wangu×2
kana wewe ni mbaya nao
wema wako tele×2
jua mlango wa mungu u waz kaufunguaaa km rixiki ni yangu huwezii kuiondoa×2ufanyeje mlimwengu usiyekuwa na hayaaa utamaliza mizungu la mungu kulipangua×2
madhali ni haii sina waswas na rizk yaangi kwa mola i halii najua sikosii nna langu funguu×2taji hinivui hili nishapaqsu dijipe uchunguuuu choyooo hakifai na chuki bnafs ewe mlimwenguuu×2
ukiifunga wa kwaaako mlangoo jua wa mungu uuwazii×2ooooooh laaaalaaaaaalaaaa
umekaza uzii kunichonganishaa kwa mashogaa zanguu nalijua wazi linokukondesha ni bahat yangu unajipa kazii hutoiondoshaa kuddura ya muunguu hayo huyawez wajihangaisha na wache maajumgu sote wa kukadiriwa na munguyu hatujitoshii kwa kituu.
see lyrics >>Similar Songs
More from East African Melody
Listen to East African Melody Wa Mungu Uwazi MP3 song. Wa Mungu Uwazi song from album East African Melody Singles is released in 2017. The duration of song is 00:16:20. The song is sung by East African Melody.
Related Tags: Wa Mungu Uwazi, Wa Mungu Uwazi song, Wa Mungu Uwazi MP3 song, Wa Mungu Uwazi MP3, download Wa Mungu Uwazi song, Wa Mungu Uwazi song, East African Melody Singles Wa Mungu Uwazi song, Wa Mungu Uwazi song by East African Melody, Wa Mungu Uwazi song download, download Wa Mungu Uwazi MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
181989771
Middy_mwana
Mashaallah
dotto lambert
utunzzi mzuri sana huu.
Deleted User
Research finds Rutoxicity is at best worse than Railaphobia Let love fill your heart instead of hate. When hate is in your heart, there's room for nothing else, but when love is in your heart, there's room for endless happiness. #Lovequote
Deleted User
Let love fill your heart instead of hate. When hate is in your heart, there's room for nothing else, but when love is in your heart, there's room for endless happiness. #Lovequote
sikia ngoma izo