- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2004
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Vunja Mifupa - Samba Mapangala & Orchestra Virunga
...
Vunja mifupa kama meno bado iko. vunja mifupa kama bado meno iko... utakuja lia ukishapoteza muda wako... utakuja lia ukishapoteza muda waaako
Fikiria kama ungali bado kijana aaa
Tengeneza maisha yako usaidie jamii yako... masiku miaka zinaenda hazitarudia eee... masiku miaka zinaenda hazitarudi tena
Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee .usifate wale wabaya
Kwa hivyo chunga ndugu yangu ee usifate wale wabaya
Eeeeee... aaaaa
Eeeeeee
Punguza ulevi ndugu chunga jamii uako ee... watateseka bure kwa ajili yako
Somesha mtoto shule... apate elimu eeee atafaidika kwa maisha yake
Vumilia ndugu maisha magumu eee dunia ni hivyo... hivyo ndivyo ilivyooo
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Samba Mapangala & Orchestra Virunga Vunja Mifupa MP3 song. Vunja Mifupa song from album Virunga Roots Volume 1 is released in 2004. The duration of song is 00:05:31. The song is sung by Samba Mapangala & Orchestra Virunga.
Related Tags: Vunja Mifupa, Vunja Mifupa song, Vunja Mifupa MP3 song, Vunja Mifupa MP3, download Vunja Mifupa song, Vunja Mifupa song, Virunga Roots Volume 1 Vunja Mifupa song, Vunja Mifupa song by Samba Mapangala & Orchestra Virunga, Vunja Mifupa song download, download Vunja Mifupa MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Junior Kelly 001
[0x26a1][0x26a1][0x26a1]