Nipe Uvumilivu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nipe Uvumilivu - Rose Muhando
...
Nimekukimbilia wewe bwana Mwamba wangu na ngome yangu Nakuinulia macho yangu Baba mungu naja kwako Nainua mikono yangu juu Nahitaji msaada wako (repeat twice) Magonjwa mengi yamenitesa Yesu nipe uvumilivu Dhiki nyingi zimenisonga Baba nipe uvumilivu Watoto wangu wanaangaika Yesu nipe uvumilivu Walonizalisha wamenikimbia Baba nipe uvumilivu Maisha yangu yamo mashakani Baba nipe uvumilivu Baba, baba, Mungu nipe uvumilivu (Nipe bwana) baba, (bwana wangu) baba Mungu nipe uvumilivu Bwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu Bwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu Hata ndugu zangu wamenigeuka Nahitaji faraja yako Wamejitenga mbali nami Nasogea kitini pako Mbele yangu kuna giza kubwa Ndiwe mwanga wa njia zangu Wewe ni bwana, mume wa wajane Yesu nipe uvumilivu Tena wewe ni baba wa yatima Baba nipe uvumilivu Pia wewe ni mungu wa maskini Yesu nipe uvumilivu Baba, baba, Mungu nipe uvumilivu Baba, baba, Mungu nipe uvumilivu Bwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu Bwana, bwana, Yesu nipe uvumilivu Adui zangu wamenizunguka Wataka kuniangamiza Wamenitegea mitego mingi Wanawinda roho yangu Nafsi yangu inazimia Njoo hima nisaidie (repeat twice) Baba, baba, Mungu nipe uvumilivu Baba, baba, Mungu nipe uvumilivu (Oh nakuhitaji Jehova Shama, Wewe umeketi mahali pa juu Wewe bwana wa wajane Wewe Mungu wa yatima Wewe unayeketi na maserafi na makerubi Wewe mungu wakati wa shida zangu Wewe uangazaye njia zangu Oh unipendaye nakimbilia kwako)
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Nipe Uvumilivu MP3 song. Nipe Uvumilivu song from album Uwe Macho is released in 2017. The duration of song is 00:08:15. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Nipe Uvumilivu, Nipe Uvumilivu song, Nipe Uvumilivu MP3 song, Nipe Uvumilivu MP3, download Nipe Uvumilivu song, Nipe Uvumilivu song, Uwe Macho Nipe Uvumilivu song, Nipe Uvumilivu song by Rose Muhando, Nipe Uvumilivu song download, download Nipe Uvumilivu MP3 song
Comments (22)
New Comments(22)
King_of_Everything
Musyoka Kilonzom8qci
mungu ambariki sana Rose n akuinue juu juu zaidi
saum wangecinhgp7
nainua mikono yangu kuu
hilder Joe's
thanks Lord
olwenykenzmercy
Thank you God
Barikicumyx
poa sana
daniel peterwafid
thanks
Mungu kweli utoa watu mbali!!!wakati huu wimbo watokea,only God knws what i was going through!!!the song really encouraged me!!when i listen to it and where iam,i juxt have to say thank you to you God!wacha Mungu abaki kuwa Mungu!
Magdelina Mweri
besidea may i have your number
Magdelina Mweri
may god bless
Magdelina Mweri
i love this song
vusieka
nice song
Mercy Okelloiitzo
I like it
✌️✌️