Mwambieni Mungu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mwambieni Mungu - Rose Muhando
...
Halelluya Hallelujah mwimbieni Bwana wimbo mpya mwambieni Mungu matendo yako yatisha kama nini oooh Hallelujah Hallelujaaaah sema ameeeeen Zaburi 66:3 (Psalms 66:3) ...... ... Mwambieni Mungu (Say unto the Lord) matendo yako yatishaa (How terrible are your works) matendo yako yatisha haaa yatisha kama nini (How terrible are you in your works) Mwambieni Mungu (Say unto the Lord) matendo yako yatishaa (How terrible are your works) matendo yako yatishaaa aaa (how terrible are your works) yatisha kama nini (how your works are terrible) mwambieni Mungu (say unto the Lord) matendo yako yatisha (how terrible are your works) matendo yako yatisha haaa (how terrible are your works) yatisha kama nini (how your works are terrible) ...... njoni myatazame (come and see) matendo makuu ya Mungu (mighty works of the Lord) atisha kwa mambo awafanyaayo wanadamu (He terrifies on the works He does for People) avikomesha vita hata mwisho wa dunia (He makes wars to cease unto the end of the earth) Zaburi 46:9....Psalms 46:9 avunja maagano ya miungu wabaya (He breaks the covenants of bad gods) avunjavunja uta wa maadui wabaya (He breaks the bow of bad enemies) alivyojisifia atukuzwe mbinguni (as He praised Himself the Lord be magnified in Heaven) na hapa ndipo ninapomfurahia Mungu ( and here is where I rejoice in God) atatawala kwa uwezo wake milele (He will rule in His might forever) ×2 ..... ...... interlude ×2 Nitakuinua wewe (I will lift you ) nitakuhimidi wewe (I will bless you) nitakushukuru wewe ( I will thank you) Mungu wa rehema (God of mercy) ...... ...... ..... ..... ..... ..... ..... ....guitar..... ...... ...... music..... ..... ...... ...... ..... ..... nitakuinua (I will lift you) Eeeeeh Mungu weeee (eeeeeh You God ) nitalihimidi jina lako (I will bless your name) Eeeeeeeh Mungu weeee (Eeeeeeeh You God) nitakushukuru ( I will thank you) Eeeeeeeh Mungu weee (Eeeeeeeh you God) mataifa washangilie (nations shall rejoice) Eeeeeeeh Mungu wee ( Eeeeeeeh you God) nitakuinua wewe ( I will lift you) Eeeeeeeh Mungu weee (Eeeeeeeh you God) nitalihimidi jina lako (I will bless your name) Eeeeeeeh Mungu wee (Eeeeeeeh you God) nitakusifia wewe (I will praise you) Eeeeeeeh Mungu wee (Eeeeeeeh you God) mataifa washangilie (nations shall rejoice) Eeeeeeeh Mungu weee (Eeeeeeeh you God) .... ..... ..... ..... ..... ..... (refrain) uinuliwe Mungu wetu (halelluya) (be lifted, our God (Hallelujah) ushukuriwe Mungu wetu(Hallelujah) (be blessed our God ) baba wa rehema (father of Mercy) halelluya) uinuliwe Mungu wetu (be lifted our God) halelluya halelluya ushukuriwe Mungu wetu (be blessed our God) Hallelujah Hallelujaaaah uhimidiwe Mungu wetu (be blessed our God) ushukuriwe Mungu wetu ( be blessed our God) baba wa rehema (Father of Mercy) uinuliwe Mungu wetu ( be lifted our God) uhimidiwe Mungu wetu (be blessed our God) ushukuriwe Mungu wetu (be blessed our God) baba wa rehema (Father of Mercy) uinuliwe mungu wetu (be lifted our God) uhimidiwe Mungu wetu (be blessed our God) ushukuriwe Mungu wetu (be blessed our God) baba wa rehema (father of Mercy) uinuliwe mungu wetu (be lifted our God) uhimidiwe mungu wetu (be blessed our God) ushukuriwe Mungu wetu (be blessed our God) baba wa rehema (father of mercy) halelluya Hallelujah ushukuriwe mungu wetu (
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Mwambieni Mungu MP3 song. Mwambieni Mungu song from album Uwe Macho is released in 2017. The duration of song is 00:06:11. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Mwambieni Mungu, Mwambieni Mungu song, Mwambieni Mungu MP3 song, Mwambieni Mungu MP3, download Mwambieni Mungu song, Mwambieni Mungu song, Uwe Macho Mwambieni Mungu song, Mwambieni Mungu song by Rose Muhando, Mwambieni Mungu song download, download Mwambieni Mungu MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
frankjames j5n54
chrispine njamba
Nice song though I don't understand the language but I am sure it says tell the Lord all troubles.
Everlyne branish
mungu kweli matendo yake yanatisha hadi mataifa wanashangilia anastahili kupewa heshima na pia sifa
MMBUNI
Nitakuinua nitalihimidi jina lako nitakushukuru mataifa washa ngilie nitakusifia wewe
Phellow
Njoni mya tazame matendo makuu ya Mungu avunja ma agano ya maadui wabaya, such powerful worship
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2348053432125